njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
lwandamina, dante,ally ally,hajj mwinyi,jafarry mohamed baadhi washaanza kumtafuta wakili wa tambwe yule mkenya awasaidieMwinyi zahera
Gadiel michael
Buswita
Yondani
Juma abdul
Hao wote wakiamua kufuata maamuzi ya tambwe basi yanga wanakuwa kama singida United.
lwandamina, dante,ally ally,hajj mwinyi,jafarry mohamed baadhi washaanza kumtafuta wakili wa tambwe yule mkenya awasaidie
Usitake kujifariji kwa kulinganisha na ishu ya Kichuya. Kwani Kichuya anaidai Simba?Ni sawa sawa na Simba na Kichuya
Good morning FIFA how can we help you madamChanzo cha taarfa n kijìwe cha ķahawa
Dogo lipeni hela za tambweUpotoshaji wa kiwango cha Chanjo ya Kovidi kumi na tisa
Binafsi nitawatafuta ili niwahimize wadai haki zao tuache dhulmati kwenye soka ..Mpira ni ajira tena yenye mafanikio makubwa, sio kichaka cha wahuniMwinyi zahera
Gadiel michael
Buswita
Yondani
Juma abdul
Hao wote wakiamua kufuata maamuzi ya tambwe basi yanga wanakuwa kama singida United.
Yule mbwiga mwenye kilo mia nane ndiye anawaingiza mkenge kila siku.Pesa wanazoangaika nazo kwenye kesi ya Morison si wangepunguza deni la Tambwe
TUTALIPA, CONFIRMEDDogo lipeni hela za tambwe
Na bado kama 20 hivi wanakuja
Wengine haoTUTALIPA, CONFIRMED