Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Haji Manara keshawajibu watafute kwanza mishahara si kuzungumzia point 3 za SimbaMaajabu makubwa yametokea Leo katika ofisi za TFF wakati katibu MKUU wa Klabu ya Yanga bwa Boniface Mkwasa akiambatana Na wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga.Kilichowapeleka Bodi ya Ligi eti kuishinikiza Bodi isitende haki Kwa klabu ya Simba Juu ya Rufaa yao dhidi ya mchezaji wa Kagera sugar anayedaiwa kuonyeshwa kadi 3 Na akachezeshwa dhidi ya Simba kinyume Na Sheria za Soka.Haya yatakuwa ni maajabu makubwa Kwa soka la Tanzania.
Kweli bingwa anajulikana hata kwa point za kuteka. Hivi alokuwa mgeni rasmi mwaka Jana cmba day si ndo bashite eee aliwapa kombe la kekiBingwa anajulikana. Nayo ni team pendwa zaidi ile iliyopo mjini career core na sio kule karibu na bwawa la kufanyia mazoezi, ile isiyopendwa na wale wa Lumumba
FactIkisikililiza vizuri maelezo ya awali Salumu mkemi, kuhusu ushindi wa Simba dhidi ya Mbao, hana shaka hata kidogo kuwa Simba imeshinda katika mazingira ya Rushwa. Tunaiomba PCCB kumtaka Salumu mkemi atoe ushahidi, ili kuletwa bingwa wa haki.