Mkuu unaikosea Simba bhana...kama ni hivyo basi sheria na kanuni za soka zisingekuwepo, hata kama ni ushabiki ifike wakati tuheshimu na sheria za soka basiMikia mpira umewashinda mwaka huu hata kuteka watateka
Mishara ya wachezaji wa Yanga inajulikana...Simba nani analipwa mshahara wa 9m?Manara katoa majibu mujarabuu
Wanasahau kuwa hata wao msimu uliopita walinufaika kwa Azam kupokwa point 3 kwa kumchezesha Erasto Nyoni akiwa na kadi 3 za njanoYanga punguzeni stress
Kesho tutapewaMbona simba hampewi tu mpaka leo hzo points zenu 3 za kagera?
Vyura aka Ngada FC hawana jipyaMkuu unaikosea Simba bhana...kama ni hivyo basi sheria na kanuni za soka zisingekuwepo, hata kama ni ushabiki ifike wakati tuheshimu na sheria za soka basi
Kulipa mshahara mkubwa ni sifa? Kuna tofaut ya kutaja mishahara na kuilipa, mulzan sifa kusema tutakupa ml 9? Haya lipeni sasMishara ya wachezaji wa Yanga inajulikana...Simba nani analipwa mshahara wa 9m?