ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Baada ya juzi kuwafunga azam, Obrey Chirwa amekumbukwa na uongozi wa Yanga sc ulioamua kupiga plaster nyumba ya vyumba viwili waliyompangia maeneo ya Tandale Mtogole jambo amabalo limemfurahisha mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Zambia hadi akaamua kupiga picha na ku upload hali iliyozua shangwe kwa mashabiki wa yanga waliofurahishwa na utu huo wa viongozi wao.
Hongera sana katibu Boniface Mkwasa
Hongera sana katibu Boniface Mkwasa