Yanga yakarabati mjengo wa Obrey Chirwa

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Baada ya juzi kuwafunga azam, Obrey Chirwa amekumbukwa na uongozi wa Yanga sc ulioamua kupiga plaster nyumba ya vyumba viwili waliyompangia maeneo ya Tandale Mtogole jambo amabalo limemfurahisha mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Zambia hadi akaamua kupiga picha na ku upload hali iliyozua shangwe kwa mashabiki wa yanga waliofurahishwa na utu huo wa viongozi wao.
Hongera sana katibu Boniface Mkwasa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Si kweli Chirwa anakaa Gorofani Shekilango Kota zile za NHC ukitaka uhakika uliza Shilawadu walishamtembelea iyo picha ni Photoshop tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…