Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Sasa unadhani Yanga tutashinda? Tiefu efu kuanzia Karia hadi gardener ni SimbaYanga walisha peleka mkataba wa Morrison TFF tena mkataba ambao Tff kupitia mtaalamu wao wa TMS wali uidhinisha maana TFF wanaye mtaalamu wa TMS. Yanga wakapeleka malalamiko juu ya mchezaji wao Benard Morrison kurubuniwa na Simba wakati anamkataba wa miaka miwili na wao Tff kimsingi walisha utambua...
Hao wenyewe TFF aka Kichechefu ni Simba Damu .Yanga walisha peleka mkataba wa Morrison TFF tena mkataba ambao Tff kupitia mtaalamu wao wa TMS wali uidhinisha maana TFF wanaye mtaalamu wa TMS. Yanga wakapeleka malalamiko juu ya mchezaji wao Benard Morrison kurubuniwa na Simba wakati anamkataba wa miaka miwili na wao Tff kimsingi walisha utambua...
Sasa si ulikuwa umbumbumbu Wa viongozi Wa simba!?Kessi si alisajiliwa hivyo hivyo akiwa na mkataba na simba.
Au nilisikia peke yangu
Kaka Punguza jazba. Tatizo lenu Yanga mliahadaika na kukubali kukabidhi timu yenu kwa wauza jersey na matapeli maarufu hapa mjini .Simba wapo makini mno "Mwamwedi" hajawahi kuingizwa mkenge kirahisi hivyo subirini Jumatatu mpewe taarifa za usanii uliofanywa na hao matapeli wenu maarufu hapa mjini (Wazee wa Forgery). Na inawezekana wakafungiwa kudhamini Club yenu wasipojiangalia.Yanga walisha peleka mkataba wa Morrison TFF tena mkataba ambao Tff kupitia mtaalamu wao wa TMS wali uidhinisha maana TFF wanaye mtaalamu wa TMS. Yanga wakapeleka malalamiko juu ya mchezaji wao Benard Morrison kurubuniwa na Simba wakati anamkataba wa miaka miwili na wao Tff kimsingi walisha utambua..
Hivi simba wamemtangaza kwenye official page yao!?Yanga walisha peleka mkataba wa Morrison TFF tena mkataba ambao Tff kupitia mtaalamu wao wa TMS wali uidhinisha maana TFF wanaye mtaalamu wa TMS. Yanga wakapeleka malalamiko juu ya mchezaji wao Benard Morrison kurubuniwa na Simba wakati anamkataba wa miaka miwili na wao Tff kimsingi walisha utambua...
Ndio, Lakini wameficha kisheria, wamesema tu "is red"Hivi simba wamemtangaza kwenye official page yao!?
Sio Lazima, kutokana na Aina ya taarifa maana YANGA wamechanganyikiwa, mbn hata Kifo cha Hayati mkapa hawakupiga wimbo wa taifa katika kutangaza msiba!Siku hizi barua hazina signatory?
Mkataba ukisha ingia /Kubali kwenye mfumo wa usajili wa kimataifa yaani TMS ina maana FA yaani chama cha mpira cha nchi husika kimetia baraka zake kwa ku uidhinisha kupitia mtaalamu wa FA husika. Sasa litakua jambo la kushangaza wao walio husika kwenye uo usajili kama chama kupinga jambo ambalo wao Tff wenyewe walili idhinisha.Sasa unadhani Yanga tutashinda? Tiefu efu kuanzia Karia hadi gardener ni Simba
Mkuu niwe nje ya maada, wewe uliona utoaji wa taarifa ile ulikuwa na ueledi kabisa!!Sio Lazima, kutokana na Aina ya taarifa maana YANGA wamechanganyikiwa, mbn hata Kifo cha Hayati mkapa hawakupiga wimbo wa taifa katika kutangaza msiba!
Kama mchezaji ni huru utaongea na hewa?Kwa hili Simba wameniangusha na mpira wa Bongo haundelei kwa ujinga kama huu
Yaana wanasajili wachezaji bila kuonhea na timu husika
Shame on them
Hapana, hivo binafsi nishazoeaMkuu niwe nje ya maada, wewe uliona utoaji wa taarifa ile ulikuwa na ueledi kabisa!!
Simba siyo wajinga wanajua a to z,Yanga na jiesiemu kuna sehemu watakuwa wamefail tuMkataba ukisha ingia /Kubali kwenye mfumo wa usajili wa kimataifa yaani TMS ina maana FA yaani chama cha mpira cha nchi husika kimetia baraka zake kwa ku uidhinisha kupitia mtaalamu wa FA husika. Sasa litakua jambo la kushangaza wao walio husika kwenye uo usajili kama chama kupinga jambo ambalo wao Tff wenyewe walili idhinisha.