fantastic philip
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 195
- 688
Basi Tufanye Bocco Au Mzamiru Ndo Mchezaji Bora Wa Mwezi, Chagua Mmoja Wapo Tuwasilishe Bodi Ya Ligi Watubadilishie WamekoseaKazi kweli wenzenu wanaingiza wachezaji kwenye kikosi bora cha CAF CHAMPION'S LEAGUE nyie bado mpo kwenye league tu hivi utopolo nani aliwaroga.
Hizo tuzo kuanzia mwezi huu mpaka league inaisha atachukua sana chama.Basi Tufanye Bocco Au Mzamiru Ndo Mchezaji Bora Wa Mwezi, Chagua Mmoja Wapo Tuwasilishe Bodi Ya Ligi Watubadilishe Wamekosea
Hehehehe [emoji854]Hizo tuzo kuanzia mwezi huu mpaka league inaisha atachukua sana chama.
CAF champions league ya Zanzibar labdaKazi kweli wenzenu wanaingiza wachezaji kwenye kikosi bora cha CAF CHAMPION'S LEAGUE nyie bado mpo kwenye league tu hivi utopolo nani aliwaroga.
Vipi kule mapunduzi cup zanzibar hali ilikuwaje?
mabingwa wa kihistoria kwio[emoji2957]
Hehehehe [emoji854]