Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Kwa kipigo cha 8-0 walichopokea Coastal Union toka kwa Yanga,Julio hatawasahau Yanga. Ni kipigo chake pekee cha paka mwizi akiwa mchezaji na hata kocha. Ni kama Mourinho alivyopigwa 5 na Barcelona mara tu alipotua Real Madrid kama Kocha.
Yanga kama Ulaya vile
Yanga kama Ulaya vile