Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Hatariiii sana hiyo.Nasubiri kuona mahojiano yake na waandishi wa habari itakuwaje...Sijui atalia?
Leo atazima simu badala ya kuwapigia watangazaji wa Radio kama ilivyo kawaida yake.
Ungeuliza hili swali siku hile mulipowaotea Kagera leo ningekujibuHivi TAKUKURU kazi yao nini?
Kilichotokea Leo kwenye mechi Kati ya Yanga Na Coastal Ni kielelezo tosha Soka letu litachukua miaka mingi Sana kufikia level za kimataifa!
Tanzania kushiriki AFCON Na WORLD Cup tutasikia kwenye radio Kama hayo ndo yanafanyika ktk mechi zetu