Haaaahaa mpwa mshana jr hata wewee
Kilichotokea Leo kwenye mechi Kati ya Yanga Na Coastal Ni kielelezo tosha Soka letu litachukua miaka mingi Sana kufikia level za kimataifa!
Tanzania kushiriki AFCON Na WORLD Cup tutasikia kwenye radio Kama hayo ndo yanafanyika ktk mechi zetu
Hivi kuua chawa kwa rungu nayo sifa??? Mpwa Pdidy mwindaji hasifiwi kuua mzoga kwakuwa ushakufa
Ukirudi nyumbani na mzoga wa ngiripori ambao hauvuji hata damu familia na majirani watacheka kimyakimya
Pdidy katika ubora wake, akhsante Yanga, nimefurahi sana leo
shida hawa wenzetu sijui walipiga ugali na kipande cha papa
hapana mkuu mshana jr, hapa tutatofautiana tu, Coastal Union ni timu kubwa piaLeo huku nitagombana na wengi, hivi kweli unaweza kumpiganisha matumla na Tyson halafu umsifu Tyson kwa ngumi mahiri!?