kwich kwich
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 366
- 105
Mafanikio ya hizo team ktk ngazi ya kimataifa yanaeleweka ikiwemo uchukuaji WA vikombe vikubwa kabisa duniani, Ni ukosefu WA busara kuzifananisha Na Yangahuujui mpira wew kalale tu naona umeshaharibiwa siku yako hiyo Ndio YANGA bhana..vip kuhusu buyern munich, real madrid, barcelona man u, Sio ajabu kwao kumpiga mtu bao nane ama tisa itakuwa coastal?
hapana mkuu mshana jr, hapa tutatofautiana tu, Coastal Union ni timu kubwa pia
Hivi kuua chawa kwa rungu nayo sifa??? Mpwa Pdidy mwindaji hasifiwi kuua mzoga kwakuwa ushakufa
Ukirudi nyumbani na mzoga wa ngiripori ambao hauvuji hata damu familia na majirani watacheka kimyakimya
wachezaji wa Coastal hawampendi julio, wamefanya makusudi baada ya kocha wao mkenya kuondoka sababu ya julio
unataka kuniambia coastal union ni mzoga au.
Julio atajuta kuwatosa Mwadui
..