Yanga yamchezesha kipa aliyefiwa na baba yake juzi

Hapo Beno tutamkumbuka tu, maana mpaka MTU amefiwa anacheza.
 
Reactions: Tui
Vigelegele vigelegele. Nderemo na vifijo vinasikika STENDI baada ya mwali mmoja bikra kubikiriwa na Chama la wana kwenye stendi ya mabasi huko Shinyanga.
 
Taarifa nilizopata Simba wamemchezesha kagere ile Hali haoni.......Simba kueni na huruma

Na test mitambo
 
pambana na hali yako huko simba, YA YANGA HAYAKUHUSU... KWANZA HUJUI NINI KIPO NYUMA YA PAZIA
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…