Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaugua madonda ya tumbo bure mambo ya watu yanakuwazisha sanaUdoh hawezi kwenda uto, kwani huyo udoh unafikiri ni mjinga kiasi hicho
Miaka minne nanyanyua makwapa, hivyo vidonda vya tumbo vitoke wapi?Utaugua madonda ya tumbo bure mambo ya watu yanakuwazisha sana
Usiogope Rumours Mtani.Udoh hawezi kwenda uto, kwani huyo udoh unafikiri ni mjinga kiasi hicho
Inawezekana Haji ndio kapewa kitengo cha propaganda za mitandaoni? Badala ya ku focus kwenye maendeleo yao Uto wanawekeza kwenye majungu, umbea na fununuUsiogope Rumours Mtani.
Na vile vidonda vya kutonyanyua kwapa kwa miaka minne je?Miaka minne nanyanyua makwapa, hivyo vidonda vya tumbo vitoke wapi?
Ya kweli haya?Kwa hali hii watweza kweli kumsajili?View attachment 2077821
Udoh hawezi kwenda uto, kwani huyo udoh unafikiri ni mjinga kiasi hicho
Simba ileeeee afrika
Ndio mdau jana hapo wakati wanarudi kutoka zenji
Mpira wa Bongo una pesaNdio mdau jana hapo wakati wanarudi kutoka zenji
Ila nasikia wamemsajili phiri....jamaa nae kilaza tu zanaco wapo makundi we unakuja kwa wasiokuwepo michuano yoyote ya afrika
hapana phiri keshasaini mkataba wa awali simba..team yake inamuchaia mwezi wa sita mkataba ukiisha...jamaa hawa wana propaganda za kishamba sana za lemavu la akili na ngoziNdio mdau jana hapo wakati wanarudi kutoka zenji

Unavyotaka kila mchezaji aende Simba km unalipa ww mishahara??Udoh hawezi kwenda uto, kwani huyo udoh unafikiri ni mjinga kiasi hicho