Yanga yamfungia haruna niyonzima

Yanga yamfungia haruna niyonzima

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Na atalipwa nusu mshahara kipindi chote cha kifungo chake...binafsi naipongeza yanga kwa hatua hiyo,yanga hatujawahi kuringiwa na mchezaji,tuliwahi kumfungia emanuel okwi kuelekea mechi na simba,alivyozidisha maringo tukafukuza kabisa,wengine tuliwafungia kwa utovu wa nidham huku wakiwa tegemeo kwenye timu akiwemo amir maftah,nsajigwa,ivo mapunda, nk
 
Na atalipwa nusu mshahara kipindi chote cha kifungo chake...binafsi naipongeza yanga kwa hatua hiyo,yanga hatujawahi kuringiwa na mchezaji,tuliwahi kimfungia emanuel okwi kuelekea mechi na simba,alivyozidisha maringo tukafukuza kabisa,wengine tuliwafungia kwa utovu wa nidham huku wakiwa tegemeo kwenye timu akiwemo amir maftah,nsajigwa,ivo mapunda,nsajigwa nk

Mbona sredi yako imejaa majigambo zaidi kuliko kuripoti habari kamili?
 
Back
Top Bottom