Na atalipwa nusu mshahara kipindi chote cha kifungo chake...binafsi naipongeza yanga kwa hatua hiyo,yanga hatujawahi kuringiwa na mchezaji,tuliwahi kimfungia emanuel okwi kuelekea mechi na simba,alivyozidisha maringo tukafukuza kabisa,wengine tuliwafungia kwa utovu wa nidham huku wakiwa tegemeo kwenye timu akiwemo amir maftah,nsajigwa,ivo mapunda,nsajigwa nk