(yanga yamnyaka mganga wa lipuli!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
club bingwa mtetezi yanga, imemnasa mganga wa kienyeji wa lipuli fc ambaye aliwasaidia kumbana mbavu mnyama katika mechi zote mbili.
Ikumbukwe kuwa mnyama hajamfunga lipuli katika mechi zote mbili msimu huu.
Habari za chini ya kapeti zinanyapua kuwa, mganga huyu lipuli walimtoa toka timu ya mtaan inaitwa mkimbizi fc. mganga huyo anasifika kwa utaalam wa kuwaloga wapinzan.
kila la heri mganga katika mkakati wako wa kumchinja mnyama### mshana## Gentlemycine### mzizi mkavu##
 


Dah...kama ni hivyo Yanga itabeba kombe la washindi barani Afrika...halafu Taifa stars inabidi tumtumie ili tupate nafasi ya kucheza kombe la dunia na hata kuchukua ubingwa....hureee mganga...tehtehtehteh
 
Toi ujinga wako hapa, Yanga hakunaga mambo y'a ulozi, hayo mambo mnayajua ninyi mikia fc mkiongozwa na bi Hindu, Genta n'a wengineo.
 
Toi ujinga wako hapa, Yanga hakunaga mambo y'a ulozi, hayo mambo mnayajua ninyi mikia fc mkiongozwa na bi Hindu, Genta n'a wengineo.
wewe ndo mjinga...huna facts zozote unakurupuka! nani kakwambia mimi ni mkia!
 
Yanga hawana hayo mambo ila ile timu ya wanafiki a.k.a simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…