Yanga yamsaini striker hatari wa Zanaco, Mosses Phiri

Basi watani zetu mlivyo na matusi ya nguoni, siku tukicheza na ninyi huyo jamaa akitufunga goli utasikia "leo Phiri kawaphira".
 
Hapo kwa Nabi umeongea utumbo m*v kabisa. Kuna kocha ambae kaleta taswira njema Yanga kuliko prof Nabbi?

Tunajua ww ni kolo unajificha kwenye kichaka cha Yanga.
Sitaki kukujibu baadhi ya ujinga wako mwingine, ila kwa wachezaji waliopo Yanga hata ukimpa Julio ukocha ataleta matokeo mazuri.
 
Hicho kikosi unachosema kwa kocha yyte kinaweza leta matokeo amekitengeneza bibi yako? Misimu minne yanga imeshindwa kutengeneza kikosi imara huyu mzee kaja katengeneza kikosi imara na kabadili aina ya uchezi wa butuabutua leo hii unaleta uchawi wako na roho yako mbaya unasema eti Nabbi hafai. Subaamit, uharo mtupu humo kwenye kichwa.
Sitaki kukujibu baadhi ya ujinga wako mwingine, ila kwa wachezaji waliopo Yanga hata ukimpa Julio ukocha ataleta matokeo mazuri.
 
Wewe utakuwa umetoka kutumia chupa ya mirinda, miaka minne ile Yanga walikuwa hawana ufadhili wa kueleweka mpaka wakawa wanashindia matikiti maji? au wakati Mwinyi Zahera anatoa pesa zake kulipia club ndio angeteneza timu?
 
Wewe utakuwa umetoka kutumia chupa ya mirinda, miaka minne ile Yanga walikuwa hawana ufadhili wa kueleweka mpaka wakawa wanashindia matikiti maji? au wakati Mwinyi Zahera anatoa pesa zake kulipia club ndio angeteneza timu?
Ni mchezaji gani wa Yanga wa sasa ambae usajili wake ni wa gharama kubwa ya kutisha kulinganisha na miaka ya nyuma?

Pamoja na kua Yanga ilkua hali ngumu misimu kadhaa ya nyuma, msimu uliopita mbona walishindwa kutengeneza kikosi licha ya kufadhiliwa na GSM mpaka walivyomleta Nabbi.

Basi tukupe ww timu mwenye mbinu zisizotabirika. Machawa na wachawi hamtoisha milele.
 
Vitu vingine tukubali kutumia akili tusiendeshwe na mihemko, Yanga mpya ilianza kujengwa msimu uliopita ndio maana hata ligi tuliongoza ligi kwa kipindi kirefu. Draw ndio zilikuwa zinatusumbua na kufunga Kigoli kimoja kimoja. Akina Sarpong tumeachana nao kwa sababu tulisema alikuwa siyo mfungaji mzuri.
Msimu huu timu imefanya usajili mkubwa karibia kila nafasi hivyo tunastahili matokeo bora zaidi ya yale ya msimu uliopita. Kwa upande wa matokeo, kutolewa club bingwa tena hatua ya kwanza ilikuwa doa kwa Nabi, kwenye ligi inabidi akomae achukue ubingwa ndio tuone angalau kuna mabadiliko ya matokeo ndani ya club.
 
Ushabiki mandszi pembeni, Nabbi ameibadili yanga, na hata mpinzani sasa hivi roho mkononi. Uchezaji wa kumiliki mpira unafanywa na yanga.

Unasema timu hailo aggressive, hivi biashara walivopata goli, uliona jinsi goli lilivyotafutwa? Timu gani inaweza tafuta goli na ikalipata Kwa muda mfupi kwa ulr uchezaji wa biashara? Hata makilo walichemka.

Vipi kuhusu prisons walivyotikisa kiberiti. Heshima apewe Nabbi jaman, kaleta raha jangwani. Kuhusu ubingwa ni majaaliwa lkn kazi yake inaonekana.

Vlub bingwa ana sababu ya kujitetea, wachezaji wengi walikua hawana vibali, ikabidi watumike akina Nchimbi.
 
Mwaka gani mkuu?

Maana kikosi hiki ndicho kilipigwa home na away.
 
Club bingwa unajuwa na wachezaji wangapi hawakucheza kutokana na vibali? Nabi simshtumu kuwa ni mbovu ila ajue bado ana kazi ya kufanya. Ubora wake unapaswa kupimwa kwa mafanikio atakayoleta ndani ya club, kwani naamini labda ndani ya miaka 15 hivi huyu ndiye kocha aliyewekewa mazingira bora kabisa ndani ya club hivyo alete matokeo stahiki. Ukicheki uchezaji wa Yanga wakati wa Hans Van Da Plujm na Tom na Tom Saintfiet ndio utaelewa hoja Yangu.
 
UWONGO HUO.[emoji115]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Watafute beki mbadala wa MWAMNYETO pale nyuma, huku mbele nafasi ya MOLOKO, na NTIBAZONKIZA zitafutiwe washindani halisi. Sina shia na katikati. Mbele pale tunahitaji mijitu inapiga MIWA hata akiwa karibu na kati.
Kwa Moloko ndo huyo dogo Denis Nkane

Kwa Ntibazonkiza yupo Yakuba, Kaseke na huyo Phiri

Kwa Mwamnyeto yupo kiraka Yanick Bangala
 
Siyo doa kivile coz wachezaji muhimu hawakuwa na vibali
 
Kila la heri chama langu la Yanga. Nikiwa kama Mwananchi kindakindaki, naahidi kuwapa ushirikiano wa kutosha msimu huu. Ubingwa uko mikononi mwenu. Na wa kuwazuia, hayupo!

Mna kikosi kizuri na chenye wachezaji wenye ari ya hali ya juu sana. Benchi la ufundi limekamilika! Mashabiki wa kuwatia moyo tupo! Mungu awape nini tena?

NB: Viongozi msisahau kuendeleza ule mradi wa Kigamboni. Ifikie wakati mafanikio ya timu yetu yaendane na uhalisia.
 
Unaweza kusajili mchezaji bora ila asije kuwa bora kwenye timu yako.Mpira una formula zake sana sio blahblah
Simba walimleta Chikwende akiwa moto ila ameondoka kwa aibu tu ,

Timu inaweza kuwa na balance au mchezaji mmoja tu akaingia akaiunbalance ukaanza kuona vituko wakati timu imeongezewa mchezaji mzuri kabisa.WHEN YOU CALL A TEAM FUATILIA MAANA YA NENO TEAM

Akicheza kwa kiwango alichonacho akafit kwenye system ya Yanga basi watafanya vizuri na hiki ni kitu cha kujivunia tunahitaji timu zinazoshindana kwelikweli sio manenomaneno

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Hv kanjibai Mo amegoma kutoa hela ya usajili?
Kumuacha huyu mwamba kwenda utopoloni ni rasmi ubingwa wa ndani unaenda Jangwani jumlisha na kipigo kwenye derby.
 
Kwa nafasi ya Moloko na Ntibazonkiza yupo Nkane na Ambundo na hata Ngushi ana uwezo wa kucheza akitokea pembeni,hapo kwa Mwamnyeto kweli ni muhimu apate beki mwingine mkali wa kumpa ushindani!
Ambundo yupo wapi ndio kusajiliwa dirisha dogo? Mbona yupo kabatini daily?Yangu mchwa wanamla ambundo!!!
 
Hv kanjibai Mo amegoma kutoa hela ya usajili?
Kumuacha huyu mwamba kwenda utopoloni ni rasmi ubingwa wa ndani unaenda Jangwani jumlisha na kipigo kwenye derby.
Mwamba yupi kaenda kwa yeboyebo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…