Yanga yamsaini striker hatari wa Zanaco, Mosses Phiri

Yanga yamsaini striker hatari wa Zanaco, Mosses Phiri

Inawezekana ikawa uongo ndio mkuu ndomana nimesema TETESI
Angalia heading yako kama ni kweli umeandika tetesi...。

Phili hawezi kuja yanga aache kucheza michuano ya kimataifa na zanaco na hili limeshatolewa ufafanuzi,
Simba wameshindwa kumsajili huyu sababu ana usajili wa caf ktk michuano ya kimataifa na wao wanahitaji mchezaji atayewasaidia kule kimataifa endapo wakimchukua huyu basi atacheza michuano ya ndani tu kama ilivyokuwa kwa chikwende,sasa wa kazi gani,ndio maana wanasaka kwengine.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa anastahili tuzo,siyo kwa uvumilivu wa misimu minne mtawalia bila kombe na sasa unakwenda msimu wa tano.
Kolo mbona unawashwa sana?
Anyway shibobo si yupo? Atawapa kombe na Bob Marley.
 
Angalia heading yako kama ni kweli umeandika tetesi...。

Phili hawezi kuja yanga aache kucheza michuano ya kimataifa na zanaco na hili limeshatolewa ufafanuzi,
Simba wameshindwa kumsajili huyu sababu ana usajili wa caf ktk michuano ya kimataifa na wao wanahitaji mchezaji atayewasaidia kule kimataifa endapo wakimchukua huyu basi atacheza michuano ya ndani tu kama ilivyokuwa kwa chikwende,sasa wa kazi gani,ndio maana wanasaka kwengine.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwani chikwende mlimchukua wa kazi gani ilihali mlijua hatocheza CAF?

Semeni ukweli hakuna pesa ya kuvunja mkataba.
 
Heee pole sana. Umevumilia mno. Lakini ndio mpira ulivo.

Leo si unawaona man u,hawakuwahi kudhani watakuja kupitia haya.

Ila Simba wana raha bana.
Nikiangalia yanga ile ya kina sarpong na sibomana dah nacheka sana
Kweli tumevumilia sana aseeh ilikuwa butua butua hovyo kabisa,
Kwa sasa acheni tutambe tukianza na haka kakombe ka mapinduzi kabla hatujaenda kubeba ligi.

Nabi akishindwa kutupa kombe nitamshangaa sana maana amepewa kila alichoomba.
 
Mwamba yupi kaenda kwa yeboyebo?
Lisemwalo lipo mkuu
Tusidharau
JamiiForums-1009538270.jpg
 
Inajulikana kuwa Simba walivutiwa sana na huduma ya huyu mchezaji mzambia kutoka katika club ya Zanaco, katika kipindi cha dirisha kubwa ila ikashindikana kutokana na idadi ya wachezaji kutimia

Wakajipanga kurudi tena katika dirisha hili dogo ila bahati mbaya Zanaco imefuzu hatua ya makundi shirikisho hivo kufuta matumaini ya Simba kumnunua phiri maana endapo kama watamnunua itabidi asitumike katika mashindano ya Shirikisho kama Sheria inavosema, Simba inataka kununua wachezaji wa kigeni Kwa ajili ya kuongeza nguvu Katika shirikisho

Inadaiwa kuwa Yanga ishamalizana na striker na kilichobaki ni kumalizana na uongozi wa club ya Zanaco na wamefkia hatua nzuri Kwa hiyo ni Jambo la muda tu Kwa Yanga kukamilisha usijili wa Mosses phiri

Kwa Yanga kumpata mchezaji huyu sio siri kwangu Mimi sasa rasmi nawaweka katika mbio za ubingwa maana wanaonekana wako serious na wamedhamiria Kweli msimu huu, jamaa ni fundi haswa ambae anaweza kucheza kama namba 9,10 lakini pia winger, Kwa ile striking force yao na kumuongeza huyu mwamba hapo sasa wamekamilika haswaaa
Hapana bado bro

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Angalia heading yako kama ni kweli umeandika tetesi...。

Phili hawezi kuja yanga aache kucheza michuano ya kimataifa na zanaco na hili limeshatolewa ufafanuzi,
Simba wameshindwa kumsajili huyu sababu ana usajili wa caf ktk michuano ya kimataifa na wao wanahitaji mchezaji atayewasaidia kule kimataifa endapo wakimchukua huyu basi atacheza michuano ya ndani tu kama ilivyokuwa kwa chikwende,sasa wa kazi gani,ndio maana wanasaka kwengine.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo thread itakuwa moderator amei edit, me nimeandika tangu Jana kuwa ni TETESI, na ndomana ata ukisoma content hakuna sehemu me nimethibitisha kuwa Yanga wamemsajili mosses phiri, ila kuamkia leo ndio nakuta neno TETESI halipo Tena

Na kuhusu hayo maelezo uliyotoa kuhusu mosses phiri na Simba umeona kuna tofauti yoyote na nilichoandika Mimi, au hujasoma content uliishia kwenye heading tu brother
 
Kama ni kweli huo ni usajili usiokuwa na tija,coz YANGA haina shida sana kwenye eneo hilo...Halafu Phiri anazidiwa sana na MAYELE na SAIDO
 
Kama ni kweli huo ni usajili usiokuwa na tija,coz YANGA haina shida sana kwenye eneo hilo...Halafu Phiri anazidiwa sana na MAYELE na SAIDO
Usajili wa kukomoana kwan ww huwajui hawa kulwa na doto?
 
Ameshangaa zaidi kuambiwa kuwa Simba ndo timu inayoongoza kwa kuchukua ubingwa wa ligi kuu masa nyingi zaidi
Shiboub aliondoka Simba ikiwa bingwa, ameshangaa hadi anarudi kaambiwa Simba bado bingwa
 
Back
Top Bottom