Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Utopox tayri mmeshakimbia uzi mmesahau huko juu mlikuwa mnabwabwaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mosses Phiri
Crispin Ngushi
Denis Nkane
Naomba kuhifadhi maneno yangu, Nisije nikamkufuru Mungu
muda Ukifika utajiona muongo mkubwa Aya sawamuda Ukifika utajiona muongo mkubwa
Aya sawa
bado unaamini phir ni wenu yangaAyabado unaamini phir ni wenu yanga
Binafsi naona Denis Nkane anatosha kumpa changamoto Moloko! Muda utaongea!Watafute beki mbadala wa MWAMNYETO pale nyuma, huku mbele nafasi ya MOLOKO, na NTIBAZONKIZA zitafutiwe washindani halisi. Sina shia na katikati. Mbele pale tunahitaji mijitu inapiga MIWA hata akiwa karibu na kati.
Matusi ya nini sasa au ndio tabia za Tandale na KkoooHicho kikosi unachosema kwa kocha yyte kinaweza leta matokeo amekitengeneza bibi yako? Misimu minne yanga imeshindwa kutengeneza kikosi imara huyu mzee kaja katengeneza kikosi imara na kabadili aina ya uchezi wa butuabutua leo hii unaleta uchawi wako na roho yako mbaya unasema eti Nabbi hafai. Subaamit, uharo mtupu humo kwenye kichwa.
Mnapoteza muda bure.Ukiwa na hela Raha sana unanunua yoyote wakati wowote.Kaa ukijua iwe Phiri au siye Kuna chuma kinashuka. Kwa kukurupuka kwako ulisajiri Banda na Chikwende kwa Tambo nyingi mno kisa wamekupiga chenga kilichofuata ni majutoooo. Leo kwa uoga wako umeokota okota wachezaji huko unawaleta kwenye majaribio huna misingi mizuri ya kusajiri wachezaji hata Morrison ulimuokota Yanga leo hii Taarifa zilizopo za ndani ndani anawatesa kwa ujeuri.Nimecheka kinoma. Kama iko ivyo ila utani mbaya huu[emoji3]View attachment 2069770
Huyo kichaa anawatesa kweli manina.Mnapoteza muda bure.Ukiwa na hela Raha sana unanunua yoyote wakati wowote.Kaa ukijua iwe Phiri au siye Kuna chuma kinashuka. Kwa kukurupuka kwako ulisajiri Banda na Chikwende kwa Tambo nyingi mno kisa wamekupiga chenga kilichofuata ni majutoooo. Leo kwa uoga wako umeokota okota wachezaji huko unawaleta kwenye majaribio huna misingi mizuri ya kusajiri wachezaji hata Morrison ulimuokota Yanga leo hii Taarifa zilizopo za ndani ndani anawatesa kwa ujeuri.
instagram.com
Hana nguvu, mwili mdogo, hawezi kupambana na watu tafu kama Onyango utahisi anaonewa.Binafsi naona Denis Nkane anatosha kumpa changamoto Moloko! Muda utaongea!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app