utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Mabingwa wa makombe yote nchini Tanzania ambao pia ndio vinara wa ligi ya Nbc Dar Young Africans almaarufu Yanga leo wamemtambulisha beki kisiki cha mpingo raia wa Mali.
Usajili wa Mchezaji huyo kutoka Stade malien utaongeza nguvu sehemu ya ulinzi ya kikosi cha wananchi msimu huu
Mwaka huu Wataomba kuhamia ligi ya burundi.
Usajili wa Mchezaji huyo kutoka Stade malien utaongeza nguvu sehemu ya ulinzi ya kikosi cha wananchi msimu huu
Mwaka huu Wataomba kuhamia ligi ya burundi.