utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Hayo mambo yako mikiani huko naskia mwanuke na kapombe wanapigana misumari sanaHongereni vyura, msiwapige misumari.
Kibu D na kiyombo wameshampiga phiri msumari ile rafu ilikuwa sababu tu ya phiri kufikia lengoHongereni vyura, msiwapige misumari.
Sawa sawaKibu D na kiyombo wameshampiga phiri msumari ile rafu ilikuwa sababu tu ya phiri kufikia lengo
Timu zote hizo mkuu, wapi kipenseli baada ya kufunga, kule dilunga.Hayo mambo yako mikiani huko naskia mwanuke na kapombe wanapigana misumari sana
Beki MwamnyetoMnapoleta taarifa ziwe zimekamilika wengine tunatumia jf tu kupata taarifa kwa hiyo hivi vinusu nusu vyenu vinaleta usumbufu
Kuna aina 3 za beki
kuna beki wa kati
beki wa pembeni kulia
beki wa pembeni kushoto
Sasa huyu beki hatujui ni wa nafasi gani zaidi zaidi umeandika beki kisiki ukaona umemaliza
BADILIKENI
Mbona maelezo yote yapo kwenye hiyo picha hapo juu! Au kuna tatizo kidogo kwenye lugha ya Malkia?Mnapoleta taarifa ziwe zimekamilika wengine tunatumia jf tu kupata taarifa kwa hiyo hivi vinusu nusu vyenu vinaleta usumbufu
Kuna aina 3 za beki
kuna beki wa kati
beki wa pembeni kulia
beki wa pembeni kushoto
Sasa huyu beki hatujui ni wa nafasi gani zaidi zaidi umeandika beki kisiki ukaona umemaliza
BADILIKENI
Wamtambulishe mtu aliewapa dole la kati taifa? Lazima wafanye kimya kimyaYaani viongozi wanamtambulisha huyu Mamadou halafu hawamtambulishi Metacha, ili tujadili Mamadou tusahau kuwa kuna duka limerudishwa?
Angalia picha namba mbili mbona wame andika ni CBMnapoleta taarifa ziwe zimekamilika wengine tunatumia jf tu kupata taarifa kwa hiyo hivi vinusu nusu vyenu vinaleta usumbufu
Kuna aina 3 za beki
kuna beki wa kati
beki wa pembeni kulia
beki wa pembeni kushoto
Sasa huyu beki hatujui ni wa nafasi gani zaidi zaidi umeandika beki kisiki ukaona umemaliza
BADILIKENI
Safari hii watachapika kama mbwakoko [emoji1][emoji1][emoji1]Majirani wanaweza wasiingize timu wallah
Duh nilikurupukaAngalia picha namba mbili mbona wame andika ni CB
Well said, bravoYanga imechagua kuacha soka la Uswahili mwingi na kuchukulia soka kama biashara yanga wamekua Serious sana.
Wamefunga masikio na kufanya mambo kwa manufaa ya timu na sio kelele za wachambuzi uchwara na mashabiki wasiojielewa yanga wangekua wanasikiliza kelele za mashabiki au wachambuzi uchwara Metacha asingerudi.
Yes football ni fair game metacha alikosea kakiri makosa mwache apige kazi sasa binafsi nliumia kuona kiwango cha metacha kinapotea kizembe
Watu waliokua nyuma yake walimshauri vibaya kapewa second chance sasa.