Nina amini hana uwezo wa kuwahudumia muda utatuambiaJirani kasajili kikosi kizima aise.
Sportpesa wamempa ujeuri, hela wamepewa ya mwaka mzima milioni 300 wao wamesajilia zote plus milioni 200 za pango walizokusanya. Sijui mishahara watalipa nini.Nina amini hana uwezo wa kuwahudumia muda utatuambia
Tatizo ni ile laana ya Ismail Aden RageSportpesa wamempa ujeuri, hela wamepewa ya mwaka mzima milioni 300 wao wamesajilia zote plus milioni 200 za pango walizokusanya. Sijui mishahara watalipa nini.
Hela za Mo hawajui kumbe wanaendelea kupunguza hela ya kuiuza simba mpk sasa washatumia 3b ukiongezea na mishahara ya mwakani yote watakuwa wamechukua 10b no anawaongezea 10b anaichukua simba.Sportpesa wamempa ujeuri, hela wamepewa ya mwaka mzima milioni 300 wao wamesajilia zote plus milioni 200 za pango walizokusanya. Sijui mishahara watalipa nini.
Hao jamaa ni mambumbumbu kweli kama ilivyosemwa, na safari hii wakiukosa ubingwa watukanwa mpaka na kuku zaoHela za Mo hawajui kumbe wanaendelea kupunguza hela ya kuiuza simba mpk sasa washatumia 3b ukiongezea na mishahara ya mwakani yote watakuwa wamechukua 10b no anawaongezea 10b anaichukua simba.
Ya kuwaita Mbux3?Tatizo ni ile laana ya Ismail Aden Rage
Anadhani bila uongozi bora itafaa kituJirani kasajili kikosi kizima aise.