Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

Kupata vichekesho kama vya mtoa mada nenda jangwani
 
Wataje majina acha porojo!
 
Mara nyingine mzazi anawaambia watoto wachochee moto kwamba anapika njugumawe kumbe ni mawe!!! Hii husaidia ku-buy time wakati wa njaa! Unawekuta mtu amelala njaa halafu anaota yupo kwenye sherehe akula wali!!
 
Kama akina Manara walivyowafanyia Mikia kwenye inshu ya point kutoka FIFA.

Sometimes mnakuwaga na akili mikia ila sijui mnawekewaga limbwata gani na akina Aveva.

Yule terrorizer wa yanga??

Weka clip tuone.
 
Kama akina Manara walivyowafanyia Mikia kwenye inshu ya point kutoka FIFA.

Sometimes mnakuwaga na akili mikia ila sijui mnawekewaga limbwata gani na akina Aveva.Weka clip tuone.
Okwi ANARUDI kabla TANO HAZIJARUDI
 
Leeaah TU mamaa
 
Sina mashaka na mabingwa Yanga kabisa maana pamoja na kuwa na pesa shule pia ipo siyo kama jirani yetu yule mbumbumbu anayesajili kwa kukomoa badala ya uhitaji
Umeandika kuntu mwana jangwani mwenzangu ingawa jina lako nalo ni changamoto
 
Hizi kelele zote ni kujifariji na talaka ya Niyonzima!! Yaani msiba wa kuondokewa na Niyonzima ni mkubwa kuliko wa Ally Yanga?! Akiwanunia humo kaburini, mtamtambua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…