Yanga yangu

Yanga yangu

Bukali

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
1,264
Reaction score
835
Hii hijawahi tokea, usajiri hata wachezaji kumi wapya imeshindikana, pamoja na TFF kkuongeza nafasi hadi 10 lakini Yanga yangu ni shida sana, umasikini haujawahi acha MTU salama.
 
Embu ngoja nkaone arsenal wamerport nn leo
 
Yanga tatizo ni jangwani si unajua hata ile secondry ya jangwan nayo aibu tupu
 
Kwa mwenye mbwa alichomfanyia Manji, ndio matokeo yake haya!
 
Watu wameingizwa mkenge Leo wapo airport wanasubiri mchezaji mpya hatui tu
 
Back
Top Bottom