Bukali JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,264 Reaction score 835 Jul 22, 2018 #1 Hii hijawahi tokea, usajiri hata wachezaji kumi wapya imeshindikana, pamoja na TFF kkuongeza nafasi hadi 10 lakini Yanga yangu ni shida sana, umasikini haujawahi acha MTU salama.
Hii hijawahi tokea, usajiri hata wachezaji kumi wapya imeshindikana, pamoja na TFF kkuongeza nafasi hadi 10 lakini Yanga yangu ni shida sana, umasikini haujawahi acha MTU salama.
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Jul 22, 2018 #2 Embu ngoja nkaone arsenal wamerport nn leo
Xubzero JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 243 Reaction score 413 Jul 22, 2018 #3 Msimu ujao lazma washuke daraja dadeki
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jul 22, 2018 #4 usser said: Embu ngoja nkaone arsenal wamerport nn leo Click to expand... Wapo Singapore
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,580 Reaction score 7,203 Jul 22, 2018 #5 Yanga tatizo ni jangwani si unajua hata ile secondry ya jangwan nayo aibu tupu
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Jul 23, 2018 #6 Serikali iache siasa kwenye michezo
P Payrol JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 2,286 Reaction score 3,082 Jul 23, 2018 #7 Turnkey said: Serikali iache siasa kwenye michezo Click to expand... Kivipi mkuu
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Jul 23, 2018 #8 Kwa mwenye mbwa alichomfanyia Manji, ndio matokeo yake haya!
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 11,074 Reaction score 20,608 Aug 27, 2020 #9 Mkuu Yanga mmefikia wapi
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Aug 27, 2020 #10 Watu wameingizwa mkenge Leo wapo airport wanasubiri mchezaji mpya hatui tu
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Aug 27, 2020 #11 Noti bandia said: Watu wameingizwa mkenge Leo wapo airport wanasubiri mchezaji mpya hatui tu Click to expand... story zishabadilika siyo yacoub sagna tena ni tuyisenge
Noti bandia said: Watu wameingizwa mkenge Leo wapo airport wanasubiri mchezaji mpya hatui tu Click to expand... story zishabadilika siyo yacoub sagna tena ni tuyisenge