YANGA YAPIGWA FAINI NA CAF

YANGA YAPIGWA FAINI NA CAF

mawenge

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
286
Reaction score
71
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF),
limeipiga faini ya dola 5,000 Klabu ya
Young African kwa kosa la kuchelewesha
mchezo baada ya wachezaji wake
kumzonga mwamuzi wakati mchezo wa
kuwania kuingia hatua ya makundi ya
Kombe la Shirikisho dhidi ya GD Sagrada
Esperanca uliofanyika Angola Mei 18,
2016.
Huku napo YANGA wanaonewa?
 
Back
Top Bottom