Yanga yapokea kichapo cha kwanza ligi kuu Bara, Stand United 1-0 Yanga

Duh kwa habari hii mshaniaribia safari yangu ya Arusha ngoja niingie kwanza kupata kahawa.....ah muwe mnasubiria mda wa news bana saa mbili usiku....akiyawalai Leo tende sili [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Wale kweli Wana,jamaa wahuni wale umechoma dole mibaba ya kimataifwa
 
Wakukodishwa----shoka moja mbuyu chiniiiiiii!!!!!!! Asante sana stand united chama la wana
 
utaskia tuna mechi moja mkononi bwahahaaahah
 
Tarehe mmoja kandambili waje na majeneza kabisa mechi ikiisha ni kwenda kuzika tuu hakuna kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…