Yanga yapokelewa Kwa Supu Bukoba

Yanga yapokelewa Kwa Supu Bukoba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
YANGA YAPOKELEWE KWA SUPU BUKOBA

Wanachama na mashabiki wa timu ya soka ya Yanga Mkoani Kagera wameandaa tukio Maalumu la kunywa Supu lililoambatana na usajili wa wanachama wapya ikiwa ni ishara ya kuipokea timu Yao inayotarajia kucheza mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya wanankurukumbi Kagera Sugara hapo kesho Agosti 29, 2024 majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la Kaitaba.

Mashabiki hao wamesema tukio hilo linaacha historia kubwa kwenye nyoyo zao na kuwafanya kuendelea kuishangilia timu Yao huku wakitamba kuifunga Kagera Sugar.

@sirallawi
#WasafiDigital
1724836427415.jpg
 
Back
Top Bottom