Yanga yapumzika kufungwa kwa muda. Itaendelea kufungwa tarehe 7 Algeria

Yanga yapumzika kufungwa kwa muda. Itaendelea kufungwa tarehe 7 Algeria

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Uto wamepumzika kufungwa kwa muda baada ya kupiga bomu mochwari na kujisifu wameua kumbe wameua maiti.

Kocha wa Yanga Mzee Saidi Ramadhani aapa kuivunja rekodi ya Man City ya kucheza mechi 7 bila ushindi. kocha huyo amenukuliwa akisema atalifanya hili mzunguko wa pili.

Prince Dube Mpumagoalless straika amesema kwa sasa hana mudi ya kufunga labda msimu ujao kwahyo msimpigie kelele.

Dj Azizi ki tupo naye kitambaa cheupe muda huu anaturusha msaidizi wake pacome.

Niite Gonamwitu.

Mkinitukana nitukaneni kwa kiingereza kiswahili sikijui.
 
Hebu waacheni hadi dirisha dogo lipite jamani msiwastue wakaanza kuhangaika kuboresha kikosi, wenyewe wanaona kikosi kimesharudi kwenye ubora wake na walishamaliza kusajili, sasa ninyi mnawastua ili iweje tena
 
Huu uzi kwa sababu ni wa kitoto, hata mashabiki wenzako tu wameupuuzia! Imagine tangu ulipouandika usiku wa saa nne na dakika 55, mpaka muda huu wa saa mbili na dakika 10, wamechangia watu wawili tu!
 
Huu uzi kwa sababu ni wa kitoto, hata mashabiki wenzako tu wameupuuzia! Imagine tangu ulipouandika usiku wa saa nne na dakika 55, mpaka muda huu wa saa mbili na dakika 10, wamechangia watu wawili tu!
Nashukuru mtoto mwenzangu kwa kuja kuchangia
 
Niliwaambia nyinyi yanga kapumzika kufungwa kwa muda mmeona sasa
 
Huu uzi kwa sababu ni wa kitoto, hata mashabiki wenzako tu wameupuuzia! Imagine tangu ulipouandika usiku wa saa nne na dakika 55, mpaka muda huu wa saa mbili na dakika 10, wamechangia watu wawili tu!
Haahaahaah tate nane. Kula chuma iyoooo
 
Back
Top Bottom