OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Acha madharau wewe,hao hao walikupiga tano kichuma mbogaYanga ni ya Kimataifa na ina hadhi ya kimataifa pia,kwa hiyo lazima isingiziwe kuwa inataka kusajili wachezaji wa kimataifa kama Adebayor. Sio kama wale jirani zetu Wamatopeni Fc wao wanahadhi ya Mchangani kwa hiyo Wachezaji wao ni kutoka Charambe,Vingunguti na Kiburugwa.
Acha madharau wewe,hao hao walikupiga tano kichuma mboga