TIMU ya soka ya Yanga muda mfupi uliopita imeweza kuiangushia kipigo cha mbwa mwizi Eoile dOr Mirontsy ya Comoro baada ya kuifunga mabao 6-0 katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa katika Uwanja wa Beaumer mjini Moroni.
KIUNGO mshambuliaji Mrisho Ngassa ameweza kuifungia Yanga mabao matatu ndani ya kipindi cha kwanza cha mchezo huo sambamba na beki Nadir Haroub Cannavaro aliyefunga moja.
Mara baada ya kupata mabao hayo, Yanga ilijiahidi kuongeza mabao mengine lakini Mirontsy walionekana kuzuia zaidi na kwenda mapumziko ikiwa nyuma kwa mabao 4-0.
Source: Nifahamishe.com

Last edited: