Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Uongozi wa Young Africans ukiongozwa na Rais wetu Eng. Hersi Said pamoja na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Ndg.Alex Ngai pamoja na baadhi ya wachezaji wetu, leo wametembelea kituo cha Watoto wenye uhitaji kiitwacho Casa famiglia rosetta, kilichopo Jijini Tanga na kuwapatia zawadi mbalimbali.