Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Hapo bado mpaka msemeUpuuzi
Wajinga sana/halafu cha ajabu wacha mbuzi wanaisimanga simba iliyotoa drow,hawaisemi kabisa yanga iliyopigwa tatuNi kutafuta namna ya kupoteza kipigo kutoka kwa Waarabu
Hakuna mchambuzi wala mwanahabari anayeisimanga Simba ila mashabiki wa Simba ndio wanaisimanga timu yao mkuu kama video onavyojieleza.Wajinga sana/halafu cha ajabu wacha mbuzi wanaisimanga simba iliyotoa drow,hawaisemi kabisa yanga iliyopigwa tatu
Ndiyo kusema hutaki ng'ombe? Binafsi nilipanga kuwapa ng'ombe 5 mashabiki wote wa simba wa humu jukwaani siku moja kabla ya sikukuu ya Christmas ya mwaka huu wa 2023! Kwa ajili ya kitoweo cha sikukuu.Upuuzi
Khaaaaaaa 🤣Ndiyo kusema hutaki ng'ombe? Binafsi nilipanga kuwapa ng'ombe 5 mashabiki wote wa simba wa humu jukwaani siku moja kabla ya sikukuu ya Christmas ya mwaka huu wa 2023! Kwa ajili ya kitoweo cha sikukuu.
Na nilitarajia utakuwa sehemu ya wawakilishi wakati wa kukabidhiwa hizo ng'ombe zenu, kwenye ofisi za jamii forums..
Na badoo Waarabu wa Cairo wanakuja kupiga tena kwenye mshonoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kutafuta namna ya kupoteza kipigo kutoka kwa Waarabu
Toka lini mbu akamchangia binadamu damu?Ndiyo kusema hutaki ng'ombe? Binafsi nilipanga kuwapa ng'ombe 5 mashabiki wote wa simba wa humu jukwaani siku moja kabla ya sikukuu ya Christmas ya mwaka huu wa 2023! Kwa ajili ya kitoweo cha sikukuu.
Na nilitarajia utakuwa sehemu ya wawakilishi wakati wa kukabidhiwa hizo ng'ombe zenu, kwenye ofisi za jamii forums..