OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hana akili huyo koloUnazungumzia kurusha chupa, Tatu Malogo fc waling'oa viti kabisa.
Huyu jamaa hata hatumiagi akili. Kwani Simba kufanya ndio inakula halali?Unazungumzia kurusha chupa, Tatu Malogo fc waling'oa viti kabisa.
Nani na nani?Wenye akili wawili tu Pale Yanga
Wengine wote ni mambumbumbu hakuna mwenye afadhali .Wenye akili hapo utopoloni ni 2 tyuuh.
Hata yeye aliyesema hayumo kwa list.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Sh 2,000,000 kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji kiwanjani baada ya timu ya Ihefu kufunga bao la pili.
Pia kwa kosa la maofisa wa benchi la ufundi wa Yanga kuonekana wakipinga maamuzi na kumzonga mwamuzi wa akiba.
.
Naye Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe ametozwa faini ya Sh 1,000,000 kwa kosa la kumkejeli na kumdhalilisha mwamuzi Malogo.
Siku hizi watatu.Wenye akili wawili tu Pale Yanga
Na marefa waliowabeba wamefungwa pia, ajabu unaleta habari nusunusu. Ngoja muone kama mtaendelea kubebwa. Nakuhakikishia mwisho wenu umefika.Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Sh 2,000,000 kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji kiwanjani baada ya timu ya Ihefu kufunga bao la pili.
Pia kwa kosa la maofisa wa benchi la ufundi wa Yanga kuonekana wakipinga maamuzi na kumzonga mwamuzi wa akiba.
.
Naye Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe ametozwa faini ya Sh 1,000,000 kwa kosa la kumkejeli na kumdhalilisha mwamuzi Malogo.
Kule Simba kumejazwa mambumbumbu (in Rage's voice)SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeipiga Klabu ya Simba faini ya dola za Kimarekani 10,000 zaidi ya Sh. Milioni 23.2 za Tanzania.
Adhabu hiyo imetokana na Simba kufanya vitendo vya kishirikina kwenye ya marudiano Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Orlando Pirates Uwanja we Orlando Pirates Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Simba ilitolewa kwa penalti 4-3 baada ya sare ya jumla ya 1-1, kila timu ikishinda 1-0 nyumbani.
Tayari Orlando Pirates imeingia Fainali baada ya kuitoa na Al Ahly Tripoli ya Libya kwa jumla ya mabao 2-1, ikishinda 2-0 ugenini na kufungwa 1-0 nyumbani.
sema nyie wajinga zaidi,sijawahi ona wachezaji kuwasha moto kwa pitch aiseeKlabu ya Yanga imetozwa faini ya Sh 2,000,000 kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji kiwanjani baada ya timu ya Ihefu kufunga bao la pili.
Pia kwa kosa la maofisa wa benchi la ufundi wa Yanga kuonekana wakipinga maamuzi na kumzonga mwamuzi wa akiba.
.
Naye Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe ametozwa faini ya Sh 1,000,000 kwa kosa la kumkejeli na kumdhalilisha mwamuzi Malogo.
Role model wa yanga ni Simba.Huyu jamaa hata hatumiagi akili. Kwani Simba kufanya ndio inakula halali?