Yanga yavuna pesa na kugharamiwa kambi huko Morocco

Mbobo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
1,392
Reaction score
1,818
Yanga imemuuza Kisinda kwa RS Berkane kwa Dola 150,000 (Sawa na Tsh MIL 347.8)

Berkane pia watagharamia kambi ya 'Pre Season' ya Yanga itakayowekwa katika kituo cha michezo cha KING Mohammed VI, Morocco ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya uhamisho wa Kisinda.
 
badilisha kicha cha habari andika,
Yanga walipiwa bill zote na waarabu.
 
Use your brain japo kdgo. Hawa aliowalinganisha wametokea Tz. Na wamecheza ligi ya bongo wote. Just think twice
Use your brain ya wapi wewe mbumbumbu fc! Kulinganisha vitu viwili bila sababu, ni ushabiki maandazi. Kisinda ameuzwa kwa milioni 300! Louis kauzwa kwa bilioni 1.2! Tatizo liko wapi?

Si kila mtu kauzwa kwa bei yake na makubaliano yao? Sasa vijembe vya nini!! Kana kwamba mtapata hata 100 vile kwenye hiyo bilioni 1.2 yenyewe!! Aaaghh!!!! 😩
 
Use your brain ya wapi wewe mbumbumbu fc! Kulinganisha vitu viwili bila sababu, ni ushabiki maandazi. Kisinda ameuzwa kwa milioni 300! Louis kauzwa kwa bilioni 1.2! Tatizo liko wapi?

Si kila mtu kauzwa kwa bei yake na makubaliano yao? Sasa vijembe vya nini!! Kana kwamba mtapata hata 100 vile kwenye hiyo bilioni 1.2 yenyewe!! Aaaghh!!!! [emoji30]
Mbona unahasira hivo
 
Back
Top Bottom