Katika maisha hatuwezi kulingana kwa kila kitu! Vipi tukiulinganisha huo usajili wa huyo Miquson wako na ule wa Lionel Messi kwenda PSG?M347 mwenzake Miquson kaulamba 1.2 B
Thamani ya luis ni mara tatu zaidi ya kisinda
badilisha kicha cha habari andika,Yanga imemuuza Kisinda kwa RS Berkane kwa Dola 150,000 (Sawa na Tsh MIL 347.8)
Berkane pia watagharamia kambi ya 'Pre Season' ya Yanga itakayowekwa katika kituo cha michezo cha KING Mohammed VI, Morocco ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya uhamisho wa Kisinda.
Messi ni mkubwa kisoka kuliko Luis hilo halina ubishiKatika maisha hatuwezi kulingana kwa kila kitu! Vipi tukiulinganisha huo usajili wa huyo Miquson wako na ule wa Lionel Messi kwenda PSG?
Ukibishana na utopolo halafu ukashinda utakuwa geniusmessi ni mkubwa kisoka kuliko luis hilo halina ubishi
Na luis ni mkubwa kisoka kuliko kisinda, kuna utofauti sana kati ya rungu na bunduki japo zote ni silaha
Anza wewe kwanza hapo katika "KICHA CHA HABARIbadilisha kicha cha habari andika,
Yanga walipiwa bill zote na waarabu.
Messi muache huko ulaya, hawa wa ligi moja vipi? bora tuwe wapole tu.Katika maisha hatuwezi kulingana kwa kila kitu! Vipi tukiulinganisha huo usajili wa huyo Miquson wako na ule wa Lionel Messi kwenda PSG?
Use your brain japo kdgo. Hawa aliowalinganisha wametokea Tz. Na wamecheza ligi ya bongo wote. Just think twiceKatika maisha hatuwezi kulingana kwa kila kitu! Vipi tukiulinganisha huo usajili wa huyo Miquson wako na ule wa Lionel Messi kwenda PSG?
Katika maisha hatuwezi kulingana kwa kila kitu! Vipi tukiulinganisha huo usajili wa huyo Miquson wako na ule wa Lionel Messi kwenda PSG?
Why ujafikiri wewe juu ya gharama za kambi kuwa ni sehemu ya ada ya uamisho kisha utafute gharama za kambi ni kiasi gani, ujumlishe kupata jumla ya ada ya Kisinda?.Use your brain japo kdgo. Hawa aliowalinganisha wametokea Tz. Na wamecheza ligi ya bongo wote. Just think twice
Na hiyo mia tatu, bado wanashangiliaaM347 mwenzake Miquson kaulamba 1.2 B
Thamani ya luis ni mara tatu zaidi ya kisinda
😏 Kwani huyo Louis naye alikuwa anachezea Yanga? Maana hoja inamuongelea Tuisila Kisinda na timu yake ya Yanga kuweka kambi Morocco!Kwani Messi alikua anacheza Tanzania?
Use your brain ya wapi wewe mbumbumbu fc! Kulinganisha vitu viwili bila sababu, ni ushabiki maandazi. Kisinda ameuzwa kwa milioni 300! Louis kauzwa kwa bilioni 1.2! Tatizo liko wapi?Use your brain japo kdgo. Hawa aliowalinganisha wametokea Tz. Na wamecheza ligi ya bongo wote. Just think twice
Mbona unahasira hivoUse your brain ya wapi wewe mbumbumbu fc! Kulinganisha vitu viwili bila sababu, ni ushabiki maandazi. Kisinda ameuzwa kwa milioni 300! Louis kauzwa kwa bilioni 1.2! Tatizo liko wapi?
Si kila mtu kauzwa kwa bei yake na makubaliano yao? Sasa vijembe vya nini!! Kana kwamba mtapata hata 100 vile kwenye hiyo bilioni 1.2 yenyewe!! Aaaghh!!!! [emoji30]