Yanga yavuna pesa na kugharamiwa kambi huko Morocco

Katika maisha hatuwezi kulingana kwa kila kitu! Vipi tukiulinganisha huo usajili wa huyo Miquson wako na ule wa Lionel Messi kwenda PSG?
Kuilinganisha Barcelona na Simba ni kuidhalilisha Barcelona. Similarly, kuilinganisha Simba na Yanga, ni kuidhalilisha Simba
 
Chama kauzwa kwa 1.5B
 
Katika maisha hatuwezi kulingana kwa kila kitu! Vipi tukiulinganisha huo usajili wa huyo Miquson wako na ule wa Lionel Messi kwenda PSG?
Umesema kweli kabisa atuwezi kulingana kilakitu,wachezaji wa Simba wapo juu na wanathamani kubwa.
 
Umesema kweli kabisa atuwezi kulingana kilakitu,wachezaji wa Simba wapo juu na wanathamani kubwa.
Piga hesabu ya gharama ya mauzo ya Kisinda ukijumlisha na gharama ya safari kwenda na kurudi Tanzania , kambi ya hoteli ya kifahari pamoja na posho zote kwa wachezaji na benchi lote la Ufundi kwa kipindi chote wakiwa kambini Moroco. Utapata mpunga mrefu kuzidi wa Chama
 
We unafikiri aliyewaita "mbumbuu" aliwasingizia?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…