Licha ya jana kuchapwa na Simba SC, nawapa saaaana hongera maana wameingia tena kwenye rekodi; jana Mabingwa wa Kagame ambao impliedly in Mabingwa wa Afrika Mashariki, Sudan na Pembe ya Africa walivunja rekodi kwa klabu zilizopo kwenye eneo hili
Hii ndio kwa mara ya kwanza regional champion kupigwa bao nane ndani ya mechi tatu................duu hii haijawahi kutokea kabisa........Yanga
mnatisha................magazeti, radio kimya kabisa mimi nilidhani front pages za magazeti zitafunikwa na habari hii ya Yanga kuvunja rekodi
Ama kweli wahenga hawakukosea waliposema kuwa 'MASKINI AKIPATA,M.A.T.A.K.O HULIA MBWATA' Yaani huo ushindi wa jana tena kwenye kombe la NDIZI ndo unasababisha uandike huu upuuzi wako?
Anyway sikushangai sana labda ndo uwezo kufikiri ulipokomea.
Masikini akipata.........
<br />Simba mtaishia kushinda mechi za UBAO WA HISANI!! Yanga wameshachukua makombe yote mwaka jana halafu Simba jana wanakomaa ili walau washinde huyo UBAO WA HISANI. Simba walitakiwa wakomae mwaka jana ili walau huenda wangegawana vikombe na Yanga.
Wanitukania nini ndugu yangu, je si kweli kuwa Yanga imepigwa bao nane katika mechi tatu?
Ama kweli wahenga hawakukosea waliposema kuwa 'MASKINI AKIPATA,M.A.T.A.K.O HULIA MBWATA' Yaani huo ushindi wa jana tena kwenye kombe la NDIZI ndo unasababisha uandike huu upuuzi wako?
Anyway sikushangai sana labda ndo uwezo kufikiri ulipokomea.
Masikini akipata.........
Simba mtaishia kushinda mechi za UBAO WA HISANI!! Yanga wameshachukua makombe yote mwaka jana halafu Simba jana wanakomaa ili walau washinde huyo UBAO WA HISANI. Simba walitakiwa wakomae mwaka jana ili walau huenda wangegawana vikombe na Yanga.
mata----k---o hulia bwata!
Masaburi yako ndo yamepigwa bao nane ila Yanga wamefungwa goli nane
Wanitukania nini ndugu yangu, je si kweli kuwa Yanga imepigwa bao nane katika mechi tatu?
Ndio zao wataalam wa kuchonga.mata----k---o hulia bwata!
Ndio nane kwa mashindano yapi? trial matches ni kujaribu au kufanya maandalizi ya msimu mpya. Hakuna record yoyote hapa, hata kumi unapigwa na hakuna lalama. hivi hya maneno umeyatoa wapi, Hayawani ya kike wewe.
<br />Masikini akipata.........
Kwanini Sishabikii Yanga:
Ili uwe shabiki wa yanga lazima uwe unatoka Dar, ni kijana na mwafrika....................ukikosa sifa mojawapo hapo wewe njoo kwa mnyama
- Timu inaitwa Dar - mimi sio wa Dar- natoka Singida
- Young- Mimi sio young ni mzee
- African (ubaguzi) mimi sio mwafrika nina asili ya nje ya Afrika