Yanga Yazidi Kuzindua Matawi Mapya kwa Kishindo
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Engineer Hersin Said amezindua tawi Jipya la Klabu ya Yanga liitwalo DARAJANI LIKOMBE lililopo Mkoani Mtwara.
Sherehe za uzinduzi huo zilihudhuriwa na Wanachama na Washabiki wa Yanga
Uzinduzi huo umefanywa kwa niaba ya Dkt Msolla Mshindo ambaye ni Mwenyekiti wa Yanga
DaimaMbeleNyumaMwiko