DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Yanga imeingia mkataba wa makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Card kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama wa klabu hiyo ambayo inaingia katika mfumo mpya wa uendeshaji.
“Ni kadi ya kisasa ya kidigitali ambayo itakua na jina la Mwanachama na picha yake, sasa tunakwenda rasmi kufanya mradi huu ufanye kazi, wale Mashabiki tunaoishabikia Timu yetu sasa twende kuiongezea thamani timu yetu, asichati Mtu yeyote kwenye group la Yanga mpaka atume muamala wa kuonesha amelipia ada yake ya uwanachama, hatutaki Watu ambao hawachangii Timu yetu, ni shilingi elfu 29 tu”-Hersi Said @caamil_88
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app