Yanga yazindua kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama

Kama una akili timamu huwezi kusapoti mawazo ya mleta mada.
 
Huo sio mchango ni ada ya mwanachama tofautisha mchango na fee
 
Vaa uende sasa kama una umia
 
Katika pesa ya kijinga ambayo bado sijaiokota ni ya kazi kama hizo.
 
Hivi kulipia uanachama nako ni bakuli???aisee makolo mna shida sana, Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu!!endeleeni kushangilia tu hela za urithi familia ya moh ndo mtakapojua hamjui!!lipia card ya uanachama team yako iongeze mapato.

Hakika kocha Lucy alikuwa sahihi kabisa kuwapeni lile jina la Manyani,japo povu liliwatoka[emoji3]
 
Hivi kulipia uanachama nako ni bakuli???aisee makolo mna shida sana, Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu!!endeleeni kushangilia tu hela za urithi familia ya moh ndo mtakapojua hamjui!!lipia card ya uanachama team yako iongeze mapato.
Mbona nyie Mnaita Bakuli wenzenu pindi wanapochangia uwanja?
Utofauti upo wapi? Unatoa 29000 kwa ajili ya Timu ili iendeshwe vizuri bila shida maana hiyo ada sio pambo ,humu ndio Kuna mishahara na posho na Pesa ya kuendesha club .
Mwana chama wa Simba anachangia uwanja ili baadae wawe na uwanja wao nyie Mnaita Bakuli .
Mkiambiwa nyie Ni bakul mnakasirika haraka , Sasa tupe utofaut wa hivyo vitu viwil ,je pesa ya kadi ya uanachama inaenda kuwa pambo yaan haisaidii timu kwenye Mambo yake ?
 
Kuelemisha nyani mmoja bora upewe machizi mia watakuelewa[emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
siyo msemaji ni mhamasishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…