Kipindi yuko simba alikuwa anawakanyagia kina bumbuli na nugaz kwamba wanajazana tu kwa vyeo ambavyo havipo ili mradi tu wapate ulaji, timu inakuwa na msemaji hii habari ya kusema mhamasishaji ni kujibana bana ili mradi mkono uende kinywani
Mnaendeleaje makolo !! Tunaaproach 50,000 members now..tunaenda Kusajiri mashabiki now .. transformation inaenda vizuri step by step...mtakuja kushtuka tumewaacha mbali na mabadiliko yenu ya chupli