Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ukweli acha usemwe tu Yanga inatimu nzuri sana kwa misimu hii minne tangu alivyokuwa kocha la mpira Nabi hadi sasa Master Gamond ambaye anarekodi zake nzuri kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu ndani ya Yanga.
1. Moja wapo ni kuipeleka Yanga hatua ya makundi klabu Bingwa Afrika mara mbili mfululizo.
2. Kumkanda vizuri sana my wetu Simba SC mara nne mfululizo tena kwa ushindi mzuri ukiwemo wa Goli tano.
Sasa uwezi kuifananisha na Simba ambayo inatimu iliyojaa wavulana ambao wapo katika balehe wakati Yanga imejaa wa baba tena wenye majukumu ya kifamilia lazima wakifanya kazi wanafanya kazi haswa kwajili ya kuzilisha familia zao.
Kwahiyo hata Yanga achezi kwa siku mara mbili, Simba atafungwa tu huo ndiyo ukweli kabisa. Yanga tunatimu imara sana ambayo imejaa wachezaji wenye ukomavu mkubwa na uzoefu usio wa kifani kwenye soka.
Simba mtalalamika sana mwaka huu endeleeni kupeleka malalimiko TFF 😀