mzurikwetu
Member
- Mar 21, 2011
- 68
- 4
Mnyama akiteleza tuu, ubingwa kaukosa.
Tunao tunao mpaka dk ya mwisho.
Ndo uzuri wa soka ya Bongo,kila timu inayofungwa na Simba inaitwa tawi, tunavyojua sisi Simba ni kwamba hatujawahi kushindwa kuifunga hiyo jkt,Wakigongwa jumapili watatetereka! Lakini tatizo JKT Ruvu tawi lao na Dihile lazima ale mpunga!