Yanga

Yanga

Kassim H Kopwe

New Member
Joined
Oct 5, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Tumpe mechi ngapi ?
Screenshot_20191005-124633~2.jpeg
 
Yanga tayari wamekwishapoteza mwelekeo. Walisajili kwa mbwembwe lakini hakuna kitu uwanjani. Mabeki hovyo. Mtu kama Ngassa tayari ameishapitwa na wakati ndo anakuwa fowadi. Hata leo mtafungwa na Coastal Union.
 
Naona pozi limenikata baada ya kuona mchezaji nisiyemuelewa Ali Ali akianza pale nyuma na mkongwe Kelvin Yondani! Anisamehe tu kwa kweli, ila siungi mkono usajili wake Jangwani.

Asipotuchomesha, basi ni jambo la kushukuru kwa kweli.
 
Write your reply...huyo ni papaa mobimba bamutu ba kapukura de la kapelo babu kapombe?
 
Yanga tayari wamekwishapoteza mwelekeo. Walisajili kwa mbwembwe lakini hakuna kitu uwanjani. Mabeki hovyo. Mtu kama Ngassa tayari ameishapitwa na wakati ndo anakuwa fowadi. Hata leo mtafungwa na Coastal Union.
Vp kijana wa sheikh Yahya upo kilingeni kwako hapo uliporithi utabiri kwa baba yako?
 
Ninja ilikuwa hivyo hivyo sasa anakula pepo Unyamwezini
 
Back
Top Bottom