Kassim H Kopwe
New Member
- Oct 5, 2019
- 1
- 0
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.Ngoja tuone mpaka mwisho...
Cc: mahondaw
Atumie ustaarabu tu, aombe kuondoka!Tumpe mechi ngapi ?View attachment 1224821
Vp kijana wa sheikh Yahya upo kilingeni kwako hapo uliporithi utabiri kwa baba yako?Yanga tayari wamekwishapoteza mwelekeo. Walisajili kwa mbwembwe lakini hakuna kitu uwanjani. Mabeki hovyo. Mtu kama Ngassa tayari ameishapitwa na wakati ndo anakuwa fowadi. Hata leo mtafungwa na Coastal Union.