Yangaaa Oyeee....

eddy27

Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
25
Reaction score
19
Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata
 
Yanga wana laana ya Coast Union na Mwadui.....bila ya kusahau ya kununua mechi ili apate ubingwa.....na haya ndio matokeo yake.....
 
Ningekutukana lkn nimegundua ni mtoto hujui unachokiongea na mtoto cku zote yake nepi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…