Yani ajira 1,596 zimeombwa na watu 135,027, aiseeeee. Vijana tafuteni ya kufanya lasivyo mtaingia katika wimbi la msongo na uraibu

Serously amka utafute ustadi wa kufanya jambo lolote la kukuingizia pesa.

Na wewe kama una hio nafasi ishikilie kwa shukrani na unyenyekevuView attachment 3267715
Mavijana yenyewe hayataki kazi za kutumia Nguvu za mwili Wacha wakomae huko huko.

Saizi Ukiwa na kazi ya kutumia Nguvu kidogo huwezi pata Vijana Bali watu wa umri wa kati kuanzia 1990 kurudi nyuma.

Ndio maana sitaki mitoto yangu iwe na akili za hivyo.
 
We kazi yako hipi kushinda unasifia uwezo wa ccm kwenye serikali.
 
Inategemea ,kuna ndugu yangu yupo bank anafanya kazi kaniambia kaomba so sio wote hawana ajira ,wengine wameajiriwa private companies so anaona bora aende sehemu ambako ni permanent and pensionable
 
Mavijana yenyewe hayataki kazi za kutumia Nguvu za mwili Wacha wakomae huko huko.

Saizi Ukiwa na kazi ya kutumia Nguvu kidogo huwezi pata Vijana Bali watu wa umri wa kati kuanzia 1990 kurudi nyuma.

Ndio maana sitaki mitoto yangu iwe na akili za hivyo.
Upo sahihi mkuu, nenda x kaangalie post ya mcinika sijui uone vijana wanajinasibu kukimbia kazi eti ni ngumu
 
Back
Top Bottom