Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Mavijana yenyewe hayataki kazi za kutumia Nguvu za mwili Wacha wakomae huko huko.Serously amka utafute ustadi wa kufanya jambo lolote la kukuingizia pesa.
Na wewe kama una hio nafasi ishikilie kwa shukrani na unyenyekevuView attachment 3267715
Endelea kujidanganyaHapo watu wako na inshu zao sio kwamba wapo wapo tu
Kwanza hushangai waomba ajira wanang'aa kuliko hata hao wanaowafanyia interview
Na wiziiSerously amka utafute ustadi wa kufanya jambo lolote la kukuingizia pesa.
Na wewe kama una hio nafasi ishikilie kwa shukrani na unyenyekevuView attachment 3267715
We kazi yako hipi kushinda unasifia uwezo wa ccm kwenye serikali.Mavijana yenyewe hayataki kazi za kutumia Nguvu za mwili Wacha wakomae huko huko.
Saizi Ukiwa na kazi ya kutumia Nguvu kidogo huwezi pata Vijana Bali watu wa umri wa kati kuanzia 1990 kurudi nyuma.
Ndio maana sitaki mitoto yangu iwe na akili za hivyo.
Hii ni kali, watu 85 wanatafuta nafasi 1.135,027:1,596 = 85:1
Yani ajira za private sio permanent and pensionable?Inategemea ,kuna ndugu yangu yupo bank anafanya kazi kaniambia kaomba so sio wote hawana ajira ,wengine wameajiriwa private companies so anaona bora aende sehemu ambako ni permanent and pensionable
TRA kuna mafungu mazuri.Pia ukishaingia kwenye mfumo wautumishi serikalini ni rahisi kupitia humo humo kwenye idara nyingine.Mfano na true story ya walimu wa shule za sekondari serikali mpaka kuwa wizara mbalimbali.Yani ajira za private sio permanent and pensionable?
Upo sahihi mkuu, nenda x kaangalie post ya mcinika sijui uone vijana wanajinasibu kukimbia kazi eti ni ngumuMavijana yenyewe hayataki kazi za kutumia Nguvu za mwili Wacha wakomae huko huko.
Saizi Ukiwa na kazi ya kutumia Nguvu kidogo huwezi pata Vijana Bali watu wa umri wa kati kuanzia 1990 kurudi nyuma.
Ndio maana sitaki mitoto yangu iwe na akili za hivyo.
Barrick ni private na hela za nssf wanawekewaInategemea ,kuna ndugu yangu yupo bank anafanya kazi kaniambia kaomba so sio wote hawana ajira ,wengine wameajiriwa private companies so anaona bora aende sehemu ambako ni permanent and pensionable
Hii ni crazy analysis imewekwa kwenye maneno machache. Katika watu 85 wanao apply, mmoja tu yuko kwenye nafasi ya kupata hiyo kazi.135,027:1,596 = 85:1
Waitishe usahili sasa!...wanasubiri nini?Serously amka utafute ustadi wa kufanya jambo lolote la kukuingizia pesa.
Na wewe kama una hio nafasi ishikilie kwa shukrani na unyenyekevu
View attachment 3267773
Hii mitoto yenu kama mi broilers ni zero brain kabisa.Upo sahihi mkuu, nenda x kaangalie post ya mcinika sijui uone vijana wanajinasibu kukimbia kazi eti ni ngumu