The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Ni half time sasa hivi. Atlético madrid 0 kibonde Valadollid 1. Ni mechi ya mwisho msimu huu wa la liga. Ushindi ni lazima kwa Atlético watwae ubingwa. Real Madrid nayo iko half time ikiwa goli moja nyuma dhidi ya vellareal 0-1.
Kuna tenshen ya hali ya juu. Matokeo yakibaki hivihivi hadi kipenga cha mwisho atlético bingwa. Ila Atletico akifungwa ama adraw na real Madrid ashinde basi Madrid bingwa.
Sijawahi kuona upinzani mkali kama huu kwenye ligi ya laliga
Erythrocyte